WELCOME TO UNSATA MUHAS BLOG WE ARE HAPPY TO BE VISITED WITH YOU

Thursday, 2 February 2017

WORLD CANCER DAY MESSAGE

Taking place under the tagline ‘We can. I can.’, World Cancer Day 2016-2018 will explore how everyone – as a collective or as individuals – can do their part to reduce the global burden of cancer.

Just as cancer affects everyone in different ways, all people have the power to take various actions to reduce the impact that cancer has on individuals, families and communities.

World Cancer Day is a chance to reflect on what you can do, make a pledge and take action. Whatever you choose to do ‘We can. I can.’ make a difference to the fight against cancer

  Image result for cancer day 2017

UNSATA KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA SARATANI DUNIANI


katika  kuadhimisha siku ya Saratani duniani wanachama wa UNSATA MUHAS watapata kutembelea Hospital ya Ocean Road ili kuwapa faraja wagonjwa waliolazwa katika hospital hiyo





katika  kuadhimisha siku ya Saratani duniani wanachama wa UNSATA MUHAS watapata kutembelea Hospital ya Ocean Road ili kuwapa faraja wagonjwa waliolazwa katika hospital hiyo

Monday, 31 October 2016

NEW UNSATA LEADRESHIP 2016- 2017


WELCOME TO UNSATA MUHAS

UNSATA (kifupi cha University Nursing Student Association of Tanzania) chama cha wanafunzi wauuguzi Tanzania ambao wanasoma ngazi zote za shahada na kuendelea ili mradi asiwe nje ya taratibu na maadili ambayo mwanafunzi wa uuguzi anapaswa kuwanayo. Chama kilianzishwa rasmi na kupata usajili chini ya wizara ya afya na kutambulika kwa mujibu wa sheria tarehe 8/05/2005.
Makao makuu yake yakiwa kwenye Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili
Malengo ya chama ni pamoja na:
  1. kuweza kuwaweka pamoja wanafunzi wauguzi kuzungumza na kuweza kutatua kero mbalimbali zinazowakabili
  2. kuweza kuhamasisha wanafunzi kuwa na mtazamo chanya juu ya uuguzi ilikuweza kutoa msaada katika jamii
  3. kuweza kuondoa fikra potofu juu ya wanaume wanaosoma hii kozi kwani imezoeleka kuwa ni kozi ya wanawake tu kwani ni mawazo potofu
  4. kuweza kuishi katka maadili ya uuguzi pamoja na upendo na amani
  5. kuweza kukitangaza chama kila pande/kona ya Tanzania
WELCOME AGAIN TO UNSATA BLOG WE ARE HAPPY TO BE VISITED WITH YOU