Monday, 31 October 2016
WELCOME TO UNSATA MUHAS
UNSATA (kifupi cha University Nursing Student Association of Tanzania)
chama cha wanafunzi wauuguzi Tanzania ambao wanasoma ngazi zote za shahada na kuendelea ili mradi asiwe
nje ya taratibu na maadili ambayo mwanafunzi wa uuguzi anapaswa
kuwanayo. Chama kilianzishwa rasmi na kupata usajili chini ya wizara ya
afya na kutambulika kwa mujibu wa sheria tarehe 8/05/2005.
Makao makuu yake yakiwa kwenye Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili
Malengo ya chama ni pamoja na:
Makao makuu yake yakiwa kwenye Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili
Malengo ya chama ni pamoja na:
- kuweza kuwaweka pamoja wanafunzi wauguzi kuzungumza na kuweza kutatua kero mbalimbali zinazowakabili
- kuweza kuhamasisha wanafunzi kuwa na mtazamo chanya juu ya uuguzi ilikuweza kutoa msaada katika jamii
- kuweza kuondoa fikra potofu juu ya wanaume wanaosoma hii kozi kwani imezoeleka kuwa ni kozi ya wanawake tu kwani ni mawazo potofu
- kuweza kuishi katka maadili ya uuguzi pamoja na upendo na amani
- kuweza kukitangaza chama kila pande/kona ya Tanzania
Subscribe to:
Posts (Atom)