Makao makuu yake yakiwa kwenye Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili
Malengo ya chama ni pamoja na:
- kuweza kuwaweka pamoja wanafunzi wauguzi kuzungumza na kuweza kutatua kero mbalimbali zinazowakabili
- kuweza kuhamasisha wanafunzi kuwa na mtazamo chanya juu ya uuguzi ilikuweza kutoa msaada katika jamii
- kuweza kuondoa fikra potofu juu ya wanaume wanaosoma hii kozi kwani imezoeleka kuwa ni kozi ya wanawake tu kwani ni mawazo potofu
- kuweza kuishi katka maadili ya uuguzi pamoja na upendo na amani
- kuweza kukitangaza chama kila pande/kona ya Tanzania
No comments:
Post a Comment